التصنيفات
القرآن الكريم

المختصر في التفسير Kiswahili سورة [المؤمنون]

وَجَعَلۡنَا ٱبۡنَ مَرۡيَمَ وَأُمَّهُۥٓ ءَايَةٗ وَءَاوَيۡنَٰهُمَآ إِلَىٰ رَبۡوَةٖ ذَاتِ قَرَارٖ وَمَعِينٖ

السواحيلية | Kiswahili

50. Na tukamfanya Issa mwana wa Mariamu na mama yake kuwa ni Ishara inayoonyesha uwezo wetu, hakika amemzaa bila ya baba, na tukawapa makimbilio kwenda mahali palipo inuka kwenye ardhi penye utulivu na chemchem za maji.