التصنيفات
القرآن الكريم

المختصر في التفسير Kiswahili سورة [التحريم]

وَمَرۡيَمَ ٱبۡنَتَ عِمۡرَٰنَ ٱلَّتِيٓ أَحۡصَنَتۡ فَرۡجَهَا فَنَفَخۡنَا فِيهِ مِن رُّوحِنَا وَصَدَّقَتۡ بِكَلِمَٰتِ رَبِّهَا وَكُتُبِهِۦوَكَانَتۡ مِنَ ٱلۡقَٰنِتِينَ

السواحيلية | Kiswahili

12. Na Allah amewapigia mfano walio muamini Allah na Mitume wake kama vile Mariamu binti Imrani, aliye linda ubikira wake, alijihifadhi kutokana na zinaa, na Allah akamuamrisha Malaika Jibril ampulizie humo roho kutoka kwetu, akapata mimba ya Issa bin Mariam bila ya baba kwa uwezo wa Allah, na akasadikisha sheria za Allah na Vitabu vyake vilivyo teremshwa kwa Mitume wake, na alikuwa miongoni mwa wenye kumtii Allah kwa kufuata amri zake na kujiepusha na makatazo yake.